Sunday, April 10, 2011

RAMANI ZA KIHISTORIA

Je,unaweza kukumbuka kuwa watanzania tumetoka wapi? Tuliishi katika mfumo gani? na tulijishughulisha na nini mpaka kufikia hapa tulipo? Kama una mawazo yoyote basi waweza kuchangia pia kupitia Blog hii.Jikumbushe na tukumbushane pia kupitia mtandao.
Kumbuka ELIMU HAINA MWISHO PANUA UBONGO WAKO KWA VITU VYA MSINGI.
Bonyeza hapa ili uweze kuona Ramani za Kihistoria.....








No comments: